Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuMichezoMpira wa Pete Tanzania

Mpira wa pete ulikuwa miongoni mwa michezo maarufu sana nchini Tanzania. Mchezo huu ulianzishwa wakati wa ukoloni. Mchezo huu ulikusudiwa kuwa burudani na ulianza kuchezwa shuleni. Ili kuukuza na kuuendeleza, vilijengwa viwanja kwenye takribani shule zote za msingi nchini.

Mwaka 1966, chama cha Netiboli Tanzania (CHANETA) kiliundwa kukuza mchezo wa wanawake nchini Tanzania, ligi na mashindano yalianzishwa katika juhudi za kuongeza umaarufu wa mchezo huo.

 

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-17 13:00:54
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page