Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuMichezoMpira wa Miguu Tanzania

Soka ni mchezo maarufu na wa kwanza unaopendwa na wanaume wengi nchini Tanzania. Soka kama ilivyo michezo mingine, ulianzishwa na wakoloni walipokuja nchini Tanzania, walikuta michezo ya jadi kama vile riadha na wakaingiza michezo mipya na soka kuwa miongoni mwao. Kwa bahati, mchezo huo umejipatia umaarufu kushinda michezo mingine.

Tanzania ina timu ya soka ya taifa inayosimamiwa na shirikisho  la Soka Tanzania (TFF). Kukuza na kuhimiza soka, Shirikisho limeanzisha ligi tangu mwaka 1965, ambayo ilijulikana kama Ligi ya Soka ya Daraja ya Kwanza.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-17 16:54:44
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page