Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiSheria na TaratibuHuduma za Mahakama

Mahakama ina jukumu la kusimamia haki bila ya upendeleo na hivyo haina budi kudumisha kiwango cha juu cha uadilifu katika utumishi wa umma. Ni taasisi huru kabisa ya Dola, na miongoni mwa nguzo/mihimili mitatu ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama. Mahakama ya Rufaa ni Mahakama ya juu kabisa ya Mahakama. Kuna mahakama nyingine za chini, ambazo ni Mahakama Kuu, Mahakama za Wilaya  na za Hakimu Mkazi na Mahakama za mwanzo. Mahakama Kuu, Mahakama za Wilaya na  za Hakimu Mkazi na mahakama za mwanzo. Mahakama ya Rufaa ina jukumu la kusikiliza na kuamua kila rufaa iliyofikishwa mbele yake, kuanzia hukumu au uamuzi mwingine wa Mahakama Kuu ya Mahakimu yenye mamlaka ya ziada. Kwa maelezo zaidi, tembelea tovuti ya Mahakama.

Mahakama ya Rufaa Mahakama ya Ardhi
Mahakama ya Kazi Mahakama ya Biashara
Mahakama Kuu Kesi za Malalamiko ya Uchaguzi
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-18 06:00:00
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page