Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuMuzikiMuziki wa Dansi

Muziki wa Dansi ni miongoni mwa mtindo wa muziki wa Tanzania na unapendwa sana. Mtindo wake umetokana na mtindo wa Soukous kutoka Kongo. Muziki wa dansi unafahamika pia kama Rumba la Tanzania.

Muziki huu ulianza Tanzania miaka ya 1930 katika eneo la mji wa Dar es Salaam, ambako bendi nyingi ndiko zinakotoka. Baadhi ya bendi maarufu ni DDC Mlimani Park, International Ochestra Safari Sound, Juwata Jazz, Marquiz Original, Super Matimila na Vijana Jazz, Mtindo huu ulienea nchini Tanzania na kusababisha bendi mpya kuundwa kama Moro Jazz, Tabora Jazz na nyingine.

Juwata Jazz,sasa Msondo Ngoma, ndiyo bendi kongwe ambayo bado inaendelea. Imekuwa kama chuo cha mafunzo kwa wanamuziki wengi maarufu wa Tanzania wakiwemo wanamuziki wa bendi ya Mlimani Park na Safari Sound.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-18 10:40:36
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page