Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuMuzikiMuziki wa Bongo Flava

Siku hizi, bongo fleva ni mtindo wa muziki unaopendwa sana miongoni mwa vijana wa Tanzania. Mtindo wake unahusiana na American hip hop na R&B. Mtindo huu ulibuniwa miaka ya 1990, kama mchanganyiko wa American hip hop na nyongeza ya athari kutoka kwenye rege, R&B, afrobeat, dancehall na mitindo ya kiasili ya Kitanzania kama vile taarab na ngoma za asili.

Mtindo wa Bongo flava kwa kawaida unaimbwa kwa Kiswahili au Kiingereza, ingawa baadhi ya wanamuziki wameweza kuimba kwa lugha zao za asili. Muziki huo umevuka mipaka ya chimbuko lake ambayo ni Tanzania. Muziki huu unaenea haraka nchi za Afrika Mashariki na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-18 12:14:08
Kufaa
5.0
1 Jumla
Inafaa Sana 1
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
5.0
1 Jumla
Rahisi Sana 1
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page