Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliWafanyakazi Ajira ya serikali

Ajira nchini kwetu imo katika makundi mawili makuu ambayo ni ajira ya mshahara na kujiajiri.  Katika makundi yote mawili, ajira inaelezwa kuwa ni shughuli yoyote inayokubalika na inayoshirikisha watumishi kwa ukamilifu. Shughuli kama hiyo inaingiza aina fulani ya malipo.

Kujaza Nafasi za kazi katika Utumishi wa Umma

Utaratibu wa kujaza nafasi za kazi katika Utumishi wa Umma inahusisha Sekretarieti ya Ajira. Sekretarieti ya Ajira ina kazi ya kuwezesha, ambayo  miongoni mwa mambo mengine ni kutangaza na kuendesha usaili. Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Uteuzi Kustaafu
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-19 20:48:34
Kufaa
5.0
3 Jumla
Inafaa Sana 3
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
5.0
2 Jumla
Rahisi Sana 2
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page