Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliWafanyakazi OPRAS

Mfumo wa Wazi wa Mapitio na Tathmini ya Utendaji Kazi - OPRAS, ni utaratibu wa kumpima mtumishi utendaji wake wa kazi kwa kipindi cha mwaka mmoja. Upimaji huu hufanyika rasmi kwa uwazi, na kwa kufuata utaratibu ambao umebuniwa ili kumsaidia mwajiri na mtumishi katika kupanga mipango ya utekelezaji, kusimamia na kutathmini utekelezaji wake na kufanya mabadiliko ya utekelezaji yenye kuboresha utendaji katika taasisi ukiwa na lengo zima la kufikia malengo ya taasisi kwa ujumla. 


No OPRAS Faili / Anuani Miliki
1 MWONGOZO WA OPRAS 382.0 KB
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-20 18:28:16
Kufaa
5.0
1 Jumla
Inafaa Sana 1
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
4.5
2 Jumla
Rahisi Sana 1
Rahisi Kiasi 1
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page