Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiElimuElimu ya Mahitaji Maalum

Elimu ya Mahitaji Maalumu inatolewa kwa watoto wenye matatizo ya kujifunza ili kuwawezesha kupata huduma za elimu. Watoto wenye matatizo yakujifunza ni pamoja na mayatima, watoto wenye ulemavu, watoto wanaoishi na virusi vya UKIMWI na UKIMWI na wale wanaotoka kwenye kaya zenye kipato kidogo. Kwa kutambua haki  za watotoa katika elimu, Tanzania inatoa elimu kupitia njia mbalimbali za kupangia watoto zikiwemo: makazi maalumu na shule za kutwa, vitengo maalumu vinavyojumuishwa kwenye shule za kawaida;  program za ufundishaji wa kusafiri/kufundisha shule mbili au zaidi (ufundishaji wa kufikia) na elimu jumuishi.  Kwa kutumia njia zilizotajwa hapo juu,  kumekuwa na ubora zaidi wa Elimu ya Mahitaji Muhimu katika kuimarika kwa maeneo ya upataji, usawa, haki na ubora. Kwa maelezo zaidi, soma mtandao wa Ministry of Education and Vocational Training.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-24 07:33:32
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page