Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiElimuElimu ya Awali

Elimu ya Awali ni hatua muhimu ya Maandalizi katika mzunguko wa elimu.  Serikali ya Tanzania imeirasmisha na kujumuisha elimu hii kwenye mfumo rasmi wa elimu na kuagiza kila shule ya msingi iwe na darasa la elimu ya awali litakaloandikisha watoto wenye umri wa miaka 5-6.  Elimu ya Awali inachukua miaka miwili bila ya mitihaniya kuwapandisha watoto.  Kwa mujibu wa Sera ya Elimu na Mafunzo (ETP) ya mwaka 1995, Elimu ya Awali inakusudiwa kuhimiza maendeleo ya jumla ya haiba ya mwanafunzi, sifa za kimwili, kiakili na kimaadili na uwezo.  Ngazi hii ya elimu ni muhimu  kwa kujenga tabia ya mtoto na kumwezesha kupata utamaduni wa shule unaokubalika kabla ya kujiunga na ulimwengu wa elimu. Kwa maelezo zaidi fungua tovuti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-24 09:07:04
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page