Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiElimuElimu ya Msingi

Elimu ya Msingi ni haki ya watoto wote Tanzania kwa hivyo ni lazima na hailipiwi ada.  Mfumo wa elimu Tanzania una miaka miwili ya elimu ya awali (miaka 5-6) na miaka saba ya elimu ya msingi (miaka 7-13).  Serikali ni mtoaji mkuu wa elimu ya awali (mwaka wa I na II) na Elimu ya msingi (darasa la I-VII) nchini Tanzania na kuhusisha asilimia 95 na 97 ya uandikishaji kwa mwaka 2012.  Kwa mfuatano huo mtihani  wa kuhitimu shule ya msingi (PSLE) unaashiria mwisho wa elimu ya msingi na inatumika kama msingi wa watoto kujiunga na elimu ya Sekondari.  Sehemu hii inakupa orodha ya shule za msingi zilizosajiliwa nchini Tanzania na taarifa za mpango wa maendeleo ya elimu ya msingi.

Shule za Msingi Zilizosajiliwa Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM)
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-24 12:14:08
Kufaa
2.5
4 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 2
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 2
Urahisi wa kutumia
2.0
3 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 1
Si Rahisi Sana 1
Si Rahisi kabisa 1

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page