Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiElimuElimu ya Sekondari

Mfumo wa Elimu ya Tanzania ni miaka mine ya Elimu ya Sekondari (miaka 14-17) , miaka miwili ya Elimu ya Sekondari ya Kidato cha v na vi (miaka 18-19).  Elimu ya Sekondari imepata mafanikio makubwa tangu kuanzishwa kwa Mpango wa Maendeleo ya  Elimu ya Sekondari (MMES) 2004-2009,  ulifuatiwa na MMEs ii, 2010-2015 iliyokuwa inatekeleza Mpango  wa Maoendeleo ya Sekta ya Elimu. Maeneo ya kimkakati ya kipaumbele ya mpango huo yalikua ni kuimarisha upataji, usawa, haki na ubora wa Elimu katika ngazi hiyo. Jipatie orodha ya shule za sekondsri zilizsajiliwa nchini Tanzania kutoka kwenye sehemu hii.

 

 

Shule za Sekondari Zilizosajiliwa Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-24 14:34:26
Kufaa
2.0
3 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 1
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 2
Urahisi wa kutumia
2.0
3 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 1
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 2

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page