Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiElimuElimu ya Juu

Idara ya Elimu ya Juu ina wajibu wa kuratibu sera na miongozo, kuweka viwango, program, masharti na kuhakikisha elimu ya juu bora, kwa kushirikiana na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) Tanzania. Aidha,Idara ya Elimu ya Juu ina wajibu wa kuratibu taasisi zote za elimu ya juu na wakala zilizoko katika Wizara. Katika sehemu hii, pata maelezo ya kina kuhusu Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HELSAB), Taasisi za Elimu ya Juu, Msaada wa masomo na Vyuo vikuu. 

Taasisi za Elimu ya Juu Vyuo Vikuu
Scholarships
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-24 20:01:48
Kufaa
4.0
1 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 1
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
5.0
1 Jumla
Rahisi Sana 1
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page