Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiElimuTume ya Vyuo Vikuu Tanzania

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) ni shirika lililoanzishwa tarehe 1, Julai, 2005 chini ya Sheria ya Vyuo Vikuu Nam. 7 ya mwaka 2005 kwa madhumuni ya kuhakikisha elimu ya juu bora nchini Tanzania. TCU iliyochukua majukumu ya Baraza la Ufumbuzi Rasmi wa elimu ya juu (lililoanzishwa mwaka 1995)  pia hufuatilia na kusimamia usimamizi wa jumla na utendaji wa taasisi za elimu ya juu. Kwa ufupi, majukumu ya TCU yanaelezwa kwa muhtasari kama yafuatayo:

  • Uhimizaji wa kubadilisha maarifa/elimu kwa njia ya kuunganisha kimtandao Vyuo Vikuu na Vyuo  vya Vyuo Vikuu;
  • Usajili na utambuzi rasmi wa Vyuo Vikuu na Vyuo  vya Vyuo Vikuu;
  • Uthibitishaji wa programu za kitaaluma, uthibitishaji na uratibu wa udhahili wa wanafunzi;
  • Ufuatiliaji na udhibiti wa elimu bora Vyuo Vikuu na Vyuo  vya Vyuo Vikuu;
  • Ukusanyaji na usambazaji wa taarifa/data kuhusu elimu ya juu.

Katika sehemu hii utapata fomu za maombi kwa njia ya mtandao, tembelea tovuti ya Tanzania Commission for Universities.

Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) Daftari la Programu zilizothibitishwa
Takwimu za Udahili wa Vyuo Vikuu na Vyuo Vishiriki Mwongozo wa Udahili kwa waombaji wa Shahada ya Kwanza
Utaratibu wa Kuanzisha Chuo Kikuu Kanuni za Vyuo Vikuu
Sheria ya Vyuo Vikuu Mfumo unaotathmini Tuzo zitolewazo na Vyuo Vikuu vya Nje ya Nchi (FAAS).
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-25 13:47:40
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page