Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiMawasilianoPosta

Shirika la Posta Tanzania (TPC) linatoa huduma za taifa za posta ndani ya jamhuri na kiungo kati ya Tanzania nan chi nyingine duniani Shirika hili kutoa huduma mbalimbali na bidhaa zinazotimiza mahitaji ya wateja. Huduma hizo ziko katika makundi mbalimbali makubwa, zikiwemo barua na usafirishaji vifurushi na mizigo, huduma za fedha na upigaji fotokopi, huduma za usafiri za usafirishaji mizigo na huduma za madka ya intaneti.

Shirika hili ni mahali pa huduma nyingi sehemu moja. Hutoa huduma za posta ndani ya Tanzania na kati ya nchi nyingine ili kukidhi mahitaji ya watu ya viwanda, biashara na jamii

Leseni ya Posta na Huduma Courier Operators Huduma ya Barua na Vifurushi
Huduma za kifedha Huduma za Wakala
Biashara Mtandao Huduma za Haraka za Usafirishaji wa Vifurushi
Ukusanyaji Stempu
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-26 13:00:54
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page