Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiUjenziBodi ya Usajili wa Makandarasi

Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) ni chombo cha usimamizi chenye wajibu wa usajili, usimamizi na maendeleo ya makandarasi. Bodi ina makao makuu yake katika ghorofa ya tatu, Tetex House, Pamba Road, Dar es Salaam na ofisi za kanda – Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya na Arusha. Katika kutekeleza malengo yake kazi za pamoja za CRB ni pamoja na:

  • Kusajili makandarasi wa nchini na wakigeni katika tasnia ya ujenzi.
  • Kusimamia shughuli na mwenendo wa makandarasi katika tasnia ya ujenzi.
  • Kuweka vigezo kwaajili ya usajili wa makandarasi katika daraja mbalimbali na kupitia vigezo hivi kila baada ya muda.
  • Kuhakikisha na kuthibitisha kuwa shughuli zote za ujenzi zinafanywa na makandarasi waliosajiliwa.
  • Kuhakikisha kuwa shughulu zote za ujenzi zinafuata /kutimiza sharia na kanuni zinazo tawala.
  • Kupitia utendaji wa makandarasi waliosajiliwa kila baada ya muda.
  • Kukuza stadi na uwezo wa makandarasi wa nchini.

Sehemu hii inakupa taarifa kuhusu usajili, shughuli za utafiti na maendeleo. Makosa na adhabu zilizoelezwa na fomu za usajili kwa ajili ya kupakua. Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya Construction Registration Board

Uainishaji wa Makandarasi Usajili wa Muda
Utaratibu wa Usajili Kushughulikia Maombi
Kupewa Vibali Maalumu Mapitio na kupandisha daraja
Download Registration Forms Makosa Na Adhabu Zilizoelezwa
Mfuko wa msaada kwa Makandarasi. Maadili ya kazi
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-04 12:14:08
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page