Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiMajiUbora wa Maji

Wizara ya Maji kwa kupitia Idara ya Ubora wa Maji ina wajibu wa kufuatilia ubora wa vyanzo vya maji na kushiriki katika shughuli zinazohusu udhibiti wa uchafuzi wa vyanzo vya maji.  Idara hiyo ina mtandao wa maabara za ubora wa maji nchini.Maabara hizi zipo Arusha, Bukoba, Dar es Salaam, Dodoma, Iringa, Kigoma, Mbeya, Morogoro, Mtwara, Mwanza, Musoma, Singida, Shinyanga, Songea, Sumbawanga na Tanga.  Idara hiyo pia inafanya uchambuzi wa Kemikali za kutibu maji ili kubaini ubora wake kama unatimiza viwango. Sehemu hii inakupa mawasiliano muhimu ya maabara  za maji zilizotajwa hapo juu zilizopo nchini kwa ajili ya kupima ubora wa maji.

Maabara za Ubora wa Maji
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-07 06:00:00
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page