Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiMajiUsimamizi wa Rasilimali Maji

Tanzaia imejaaliwa kuwa na rasilimali nyingi na za aina mbalimbali za maji zikiwemo mito, maziwa, maeneo chepechepe na chemchemi zinazozalisha. Baada ya kuelewa umuhimu wa rasilimali ya maji, Serikali mwaka 1989 kwa kutumia Sheria ya Matumizi ya Maji (Udhibiti na Usimamizi), Namba 42 ya mwaka1974, marekebisho Namba 10 ya mwaka 1981. Waziri wa Maji, alitangaza kwenye Gazeti la Serikali, mabode tisa ya maji kwa madhumuni ya utawala na usimamizi wa rasilimali ya maji. Ili kuwezesha shughuli za bonde la maji kiliundwa Kitengo cha Usimamizi wa Rasilimali ya Maji. Shughuli za bonde la maji ni pamoja na kutoa vibali vya matumizi ya maji, kusimamia rasilimali ya maji kwa ushirikiano na kwa pamoja, na hivyo kuhakikisha uendelezaji wa rasilimali ya maji kwa usawa, ufanisi na uendelevu, idara hiyo pia inafanya tathmini na upimaji wa rasilimali za maji ya juu na chini ya ardhi, mipango na utafiti, usimamizi, uhimizaji na mazingira ya rasilimali za maji; sehemu hii inaeleza kwa muhtasari mipaka ya mabonde tisa, ingawa baadhi yake ni mabonde ya maji ya kimataifa.

  • Mabonde ya maji
  • Mawasiliano ya mabonde ya maji
Mabonde ya Maji Mawasiliano ya Ofisi za Bonde za Maji
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-07 06:46:46
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page