Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiUjenziWakala Ya Majengo Tanzania

Wakala ya majengo Tanzania

Jukumu kuu la wakala ya majengo Tanzania ni kutoa nyumba kwa watumishi wa serikali na wa umma pamoja na huduma za ushauri wa majengo kwa serikali. Hasa wakala imepewa majukumu yafuatayo:

  • Ujenzi wa majengo mapya ya serikali
  • Matengenezo ya majengo ya serikali.
  • Kupangia na kuuza nyumba za serikali daraja ya A na B kwa wafanyakazi wa umma.
  • Utoaji wa huduma za ushauri wa majengo kwa serikali.
  • Kupangisha nyumba za serikali kibiashara.
  • Utoaji wa huduma za usimamizi wa mradi kwa wizara, idara na wakala.
  • Kushauri Serikali kuhusu Sera na masuala ya kisheria yanayohusiana na sekta ndogo ya majengo.

Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti ya Tanzania Building Agency

Majukumu ya TBA
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-07 09:07:04
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page