Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiUjenziHuduma za Ujenzi wa Taifa

Tasnia ya ujenzi imekuwa chahu ya maendeleo ya kiuchumi katika historia kutokana na umuhimu wake kwenye kujenga miundo mbinu muhimu kwa shughuli za kiuchumi na kijamii katika upataji wa ukuaji endelevu. Baraza la ujenzi la taifa (NCC) linahimiza na kutoa uongozi na kimkakati kwaajili ya ukuaji, maendeleo na upanuzi wa tasnia ya ujenzi nchini Tanzania kwa kutilia mkazo maendeleo ya uwezo wa wananchi kwaajili ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii na ushindani katika mazingira ya dunia yanayobadilika. Pia NCC inashauri serikali katika mambo yanayohusu maendeleo ya tasnia ya ujenzi na kutoa mapendekezo na ushauri kwaajili ya utekelezaji wao. Ili kupata orodha ya huduma zitolewazo na NCC katika sehemu hi ina maelezo zaidi tembelea tovuti ya National Construction Council 

Huduma Za Mipango na Uratibu Huduma za Ukaguzi wa Kiufundi
Huduma za Ushauri na Uelekezi Kusuluhisha Migogoro
Huduma za Maendeleo ya Mkandarasi Huduma Za Maendeleo Ya Waelekezi Na Waajiri
Mfumo wa Msaada wa Taarifa kwa Tasnia ya Ujenzi
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-07 09:53:50
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page