Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiUjenziUsajili Wa Wasanifu Majengo Na Wakadiriaji Ujenzi

Bodi ya usajili ya wasanifu majengo na wakadiriaji ujenzi ilianzishwa kwa sheria ya wasanifu majengo na wakadiriaji ujenzi (usajili) Na. 16 ya mwaka 1997 iliyobatilishwa na kubadilishwa na sheria Na. 4 ya mwaka 2010. Kuhakikisha kuwa wasanifu majengo na wakadiriaji ujenzi wanatoa huduma za kitaaluma zinazokidhi mahitaji ya watu na mazingira yao kwa:

  • Kufuatilia, kusimamia na kulinda taaluma;
  • Kulinda afya, usalama na ustawi wa wananchi kwa kusimamia destruri.
  • Kuhamasisha uelewa kwa wananchi na wataalam
  • Kushirikiana na vyombo vya usimamizi na wadau.

Pata orodha ya wasanifu majengo na wakadiriaji ujenzi waliosajiliwa, fomu za maombi kwaajili ya kupakua na fomu za usajili kwa njia ya mtandao kwenye sehemu hii. Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya Architects and Quantity Surveyors Registration Board

Fomu za Maombi Kampuni zilizosajiliwa na wataalamu
Mitihani ya Kitaalamu Usajili wa Miradi
Prescribed Registration Fee for Individual and Firms Usajili kwa njia ya mtandao
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-07 16:54:44
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page