Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiUjenziWakala ya Barabara Tanzania

Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) ni wakala ya serikali chini ya wizara ya ujenzi, ilianzishwa kwa mujibu wa fungu 3(i) la sharia ya wakala za serikali (Sura ya 245) na kuanza kutumika Julai 2000. Wakala ina jukumu la kukarabati na kuendeleza mtandao wa barabara kuu na barabara za mikoa Tanzania Bara. Katika sehemu hii utaona miradi ya TANROADS iliyokamilika, inayoendelea na iliyoko katika ununuzi. Kwa maelezo  zaidi tembelea tovuti ya Tanzania National Roads Agency.

Miradi iliyokamilika Miradi inayoendelea
Under Procurement Projects Ongoing Design Projects
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-10 09:53:50
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page