Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiUjenziHuduma za ufundi na umeme Tanzania

Wakala ya Huduma za Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) ni wakala chini ya wizara ya ujenzi, iliyoanzishwa chini ya mamlaka ya sheria ya wakala za serikali Na. 30 ya mwaka 1997 kwa amri ya serikali ya Waziri wa Ujenzi kupitia tangazo la serikali Na. 254 la tarehe 26 Agosti 2005. TEMESA ilianzishwa kutokana na sheria Na. 30 ya 1997, iliyokuwa na ari ya kuboresha huduma na kuongeza tija na ufanisi wa shughuli. TEMESA ilianzishwa mahususi kutoka huduma za umeme, usafiri wa kuvuko uliosalama na wa uhakika, huduma na kukodisha zana kwa taasisi za serikali  na wananchi kwa jumla. Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti ya TEMESA

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-10 13:47:40
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page