Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiUjenziBodi ya Usajili wa Wahandisi

Bodi ya usajili wa wahandisi imepewa jukumu la kufuatilia na kusimamia shughuli za uhandisi na mwenendo wa wahandisi na kampuni za ushauri wa wahandisi nchini Tanzania. Kwa mujibu wa sheria ni kinyume cha sheria mhandisi au kampuni ya uhandisi kufanya kazi ya taaluma kama haijasajiliwa na bodi. Bodi pia imepewa mamlaka  kisheria na inawajibu wa kunyang’anya haki ya kufanya kazi ya taaluma yao  kwa wahadisi waliosajiliwaiwapo watabainika kutumia vibaya  taaluma yao au kutokuwa na ustadi. Sehamu hii inakupa orodha ya wahandisi na kampuni za uhandisi zilizosajiliwa ; unaweza  pia kupata fomu za usajili kwa kupakua. Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya Engineers Registration Board.

Sign board Standard Change Address online
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-10 14:34:26
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page