Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiMajiWakala wa Uchimbaji Visima na Ujenzi wa Mabwawa

Wakala ya Kuchimba Visima na Kujenga Mabwawa-(DDCA) ni wakala ya serikali iliyoanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Wakala za Serikali Nam. 30 ya mwka 1997. DDCA inafanya kazi chini ya Wizara ya majina ilizinduliwa  tarehe  26, Mach, 1999. Wakala hii inatoa huduma za upembuzi wakinifu, usanifu na ujenzi wa mabwawa, usanifu na ujenzi wa mifumo ya usambazaji maji, usanifu na uchimbaji wa visima vya kina kirefu. Pia inatoa ushauri wa kiufundi na ushauri mwingine wowote kwa uendelevu wa mradi.

DDCA ina ofisi 5 za kanda nchini kote, ambazo ni kanda ya mashariki, kanda ya magharibi zenye makao yake makuu Dar es Salaam, Dodoma, Arusha, Mwanza na Sumbawanga, kwa mfuatano huo. Kwa taarifa zaidi, tembelea tovuti ya Drilling and Dam construction Agency.

Ofisi za Kanda za DDCA
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-15 17:41:30
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page