Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiMawasilianoMagazeti

Hivi  sasa nchini Tanzania kuna mchanganyiko wa magazeti yanayomilikiwa na sekta binafsi ambayo ni mengi na manne tu ndiyo yanayomilikiwa na serikali ambayo ni Daily News, Daily News on Sunday, Spoti Leo na HabariLeo yanayochapishwa na kampuni ya Tanzania Standard Newspapers (TSN). Mapato ya magazeti na machapisho mengi hutokana  hasa na mauzo  na matangazo. Magazeti ya Tanzania ni njia kuu zaidi ya kutolea matangazo. Sehemu hii inakupa maelezo ya kina kuhusiana na aina mbalimbali za magazeti nchini Tanzania. 

Magazeti Majarida
Majarida (Taaluma) Vijarida
Orodha ya Magazeti na Majarida Yaliyosajiliwa Maombi ya Kitambulisho cha Uandishi wa Habari
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-15 19:15:02
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page