Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiMajiChuo cha Maendeleo na Usimamizi wa Maji

Chuo cha Usimamizi wa Maendeleo ya Maji (WDMI) ni Wakala ya Wizara ya Maji iliyopewa dhamana ya kutoa mafunzo kuhusu Maabara, Haidrolojia na Ujenzi na Utafiti. Chuo hicho kinatoa mafunzo ya cheti na Diploma. Kozi za diploma ni Water Supply and Sanitation Engineering, Hydrology and Meteorology, Hydrogeology and Water Well Drilling, Water Laboratory Technology na Irrigation Engineering

Kwa sasa, chuo kinatoa kozi moja tu ya ngazi ya digrii, nayo ni Digrii ya Rasilimali za Maji na Umwagiliaji.  Kusoma katika Chuo hicho ni mahali panapofaa kwa ajili ya maendeleo ya baadaye ya Sekta ya Maji. Kwa maelezo zaidi, tembelea Tovuti ya Chuo cha Usimamizi na Maendeleo ya Maji (WDM).

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-16 09:53:50
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page