Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiMajiBohari Kuu ya Maji

Bohari Kuu ya Maji ilianzishwa mwaka 1973 kwa Sheria ya Bunge, kifungu 17(1) na kifungu cha Hazina 17(3) cha Sheria ya Ukaguzi wa Hazina ya Julai, mwaka 1961 kwa lengo la kuhifadhi na kusambaza vifaa vinavyohusiana na maji kwa ajili ya kuhudumia sekta ya maji hasa kwa jamii badi ni muhimu sana na inahitaji msukumo wa umma.  Bohari Kuu ya Maji inatoa huduma kwa miradi ya maji ya Mijini na Vijijini na wadau wengine wa sekta ya maji.  Bohari Kuu ya Maji iko Boko, Wilaya ya Kinondoni karibu na eneo la DAWASA/DAWASCO kwenye Barabara ya Bagamoyo.  Kwa maelezo zaidi tembelea Tovuti ya Wizara ya Maji.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-16 10:40:36
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page