Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiAjiraWakala wa Huduma za Ajira

Wakala ya Huduma za Ajira Tanzania ni wakala ya serikali iliyoanzishwa kwa muhujibu wa Sheria ya Wakala za Serikali, sura ya 245, R.E. ya mwaka 2002 kwa lengo la kuboresha huduma za ajira zilizokuwa zikitolewa na Idara ya Ajira katika Wizara ya Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana.

TaESA ilianzishwa kwa juhudi ya kufikia malengo na madhumuni ya mkakati wa Taifa wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini (MKUKUTA)  uliounganishwa na Dira ya Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2025na Malengo ya Maendeleo ya Milenia kwa sababu serikali inaamini kwamba huduma za ajira  maendeleo ya ufanisi wa matumizi ya Rasilimali watu ni masharti muhumukwa ajili ya malengo ya taifa yaliyoelezwa hapo juu. Kwa hiyo umuhimu wa kutafuta fursa za ajiri na utoaji wa huduma za ajira wenye tija ni vipaumbele vya kwanza ili kuwawezesha watanzania kwa madhumuni ya kupunguza umaskini wa kipato na maendeleo ya kiuchumi.

 TaESA  inashirikiana na sekta ya umma  nay a binafsi katka kutafuta ajira, baadhi ya  wabia wanaoshirikiana ni pamoja na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Sekretarieti ya Ajiri, Shirika la Kazi Dunianina Wizara ya Kazi na Ajira. Kwa maelezo zaidiangalia tovuti ya TaESA.

Huduma za Ajira Huduma zitolewazo na Wakala
Dira na Dhima Wadau
Mawasiliano Maswali ya mara kwa mara yanayoulizwa na waajiri pamoja na watafutakazi
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-28 14:34:26
Kufaa
4.7
3 Jumla
Inafaa Sana 2
Inafaa Kiasi 1
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
4.7
3 Jumla
Rahisi Sana 2
Rahisi Kiasi 1
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page