Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiAjiraSekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imeanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria ya Marekebisho ya Sheria Na.18 ya mwaka 2007 Kifungu Na.29 (1), pamoja na marekebisho yake. Kufuatia marekebisho hayo ya Sheria, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilianza kazi tarehe 24 Juni, 2009 na ilianza kutekeleza majukumu yake rasmi tarehe 01 Machi, 2010.


No Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Faili / Anuani Miliki
1 Muongozo wa namna ya kujaza taarifa kwenye portal. 115.5 KB
Majukumu ya sekretarieti ya ajira Hatua zinazotumika kutekeleza mchakato wa ajira katika Utumishi wa Umma.
Maombi kwa mtandao Hatua za Uchambuzi
Mkataba wa Huduma kwa Mteja Muongozo wa maombi ya kazi kwa njia ya Mtandao
Maswali and Answers.
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-28 19:15:02
Kufaa
5.0
3 Jumla
Inafaa Sana 3
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
5.0
3 Jumla
Rahisi Sana 3
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page