Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliNyaraka

Serikali inatoa nyaraka kwa madhumuni ya kutoa miongozo kuhusu sheria mpya na kutoa maelekezo kuhusu kanuni za mwenendo bora au “maadili mema”, kuomba taarifa kutoka kwa wahusika katika eneo lililofafanuliwa kisheria na kuwatahadharisha wanaohusika wakati wa kuzinduliwa kwa machapisho ya Serikali au Kampeni.  Sehemu hii inaeleza kwa muhtasari nyaraka mbalimbali za Serikali zilizotungwa tangu tupate uhuru, zikiwemo zilizorekebishwa.


No Nyaraka Mwaka Faili / Anuani Miliki
101 Waraka wa Likizo ya Uzazi na Malipo Kamili kwa Maafisa wa Kike na Walioolewa, Na.1 (kwa Kiingereza) 1972 951.6 KB
102 Waraka wa Likizo kwa Maofisa wa Masharti ya Daraja (kwa Kiingereza) 1972 2.0 MB
103 Waraka wa Kuajiriwa kwa Maafisa Waliozidi Umri wa Lazima wa Kustaafu Na. 2 1972 1.3 MB
104 Waraka wa Kima cha Chini cha Mshahara kwa Watumishi wa Serikali Na. 7 1972 1.5 MB
105 Waraka wa Gharama ya Usafiri wakati wa Kustaafu Na. 3 1972 593.3 KB
106 Waraka wa Ajira kwa Raia wa Kigeni Katika Wizara za Serikari na Idara Na. 13 (kwa Kiingereza) 1972 496.2 KB
107 Waraka wa Ajira kwa Raia wa Kigeni Katika Wizara za Serikari na Idara zinazojitegemea Na. 9 (kwa Kiingereza) 1972 3.2 MB
108 Waraka wa Mashauri ya Kinidhamu Na. 11 (kwa Kiingereza) 1972 553.2 KB
109 Marekebisho ya Waraka wa Wafanyakazi Na.3 (Kwa Kiingereza) 1971 641.1 KB
110 Waraka wa Umri wa Kujiuzulu na Kupumzika Kazi Na.3 (Kwa Kiingereza) 1971 2.6 MB
111 Waraka wa Mikopo kwa Watumishi katika Kazi za Huduma Na.1 (Kwa Kiingereza) 1971 650.3 KB
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-07 11:27:22
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page