Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliNyaraka

Serikali inatoa nyaraka kwa madhumuni ya kutoa miongozo kuhusu sheria mpya na kutoa maelekezo kuhusu kanuni za mwenendo bora au “maadili mema”, kuomba taarifa kutoka kwa wahusika katika eneo lililofafanuliwa kisheria na kuwatahadharisha wanaohusika wakati wa kuzinduliwa kwa machapisho ya Serikali au Kampeni.  Sehemu hii inaeleza kwa muhtasari nyaraka mbalimbali za Serikali zilizotungwa tangu tupate uhuru, zikiwemo zilizorekebishwa.


No Nyaraka Mwaka Faili / Anuani Miliki
41 Waraka wa Posho kwa ajili ya Wanafunzi katika vyuo Vya Elimu ya Juu Na.2 1990 102.8 KB
42 Marekebisho ya Waraka wa Watumshi Na.2,3 1990 126.7 KB
43 Posho ya Madaraka kwa Waandishi Mahsusi Waraka Na.2 1989 45.7 KB
44 Waraka wa Likizo kwa Maofisa Waliomo katika Masharti Daraja 1988 103.1 KB
45 Waraka wa Kodi za Nyumba Na.3 1988 183.6 KB
46 Waraka wa Utaratibu wa Kuwaamisha Watumishi Na.2 1988 135.9 KB
47 Waraka wa Posho ya mafunzo taraji Na.1 1987 136.6 KB
48 Marekebisho ya Waraka wa Posho ya mafunzo taraji Na.1 1987 40.7 KB
49 Waraka wa Uendeshaji Kazi na Upangaji Na.6 1986 599.5 KB
50 Waraka wa Likizo Bila Malipo Na.5 1986 121.5 KB
51 Waraka wa Madereva Na.4 1986 86.8 KB
52 Waraka wa Mikopo kwa ajili ya Kununua Magari na Pikipiki Na.3 1986 570.3 KB
53 Waraka wa Malipo ya Ziada Na.2 1986 286.2 KB
54 Waraka wa Wa taratibu wafanyakazi wanahitaji kuzingatia Na.1 1986 67.9 KB
55 Waraka wa Utundikaji wa Bendera ya Taifa Na.3 1985 94.1 KB
56 Waraka wa Posho ya mafunzo taraji Na.1 (kwa Kiingereza) 1985 292.5 KB
57 Watumishi wa Serikali Wanaoteuliwa kuwa Wabunge Waraka wa Watumishi wa Serekali Na.3 1984 275.3 KB
58 Ugharamiaji wa Poshi Wakati wa Uhamisho wa Mtumishi Waraka Na.2 1983 67.7 KB
59 Wajibu Wa Kutumikia JKT Kabla ya Kuajiriwa au Kuendelea na Masomo Waraka Na.1 1983 66.0 KB
60 Uajiri wa Wataalamu wa Kigeni Waraka Na.4 1981 129.0 KB
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-07 11:27:22
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page