Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiMadiniWakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA)

Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (Tanzania Minerals Audit Agency - TMAA) ni Wakala wa Serikali ulioanzishwa mwaka 2009 chini ya Sheria ya Wakala wa Serikali, Sura ya 245. Lengo kuu likiwa ni kuhakikisha kwamba, Serikali inapa mapato stahiki kutoka kwenye shughuli za uzalishaji na biashara ya madini nchini kupitia usimamizi na ukaguzi makini wa shughuli hizo, na kuhakikisha kuwa shughuli hizo zinafanyika kwa kuzingatia uhifadhi na utunzaji thabiti wa mazingira katika maeneo ya migodi. 

Ukaguzi wa Madini Huduma za Maabara
Ukaguzi wa Hesabu za Fedha na Kodi Ukaguzi wa Shughuli za Ukarabati na Utunzaji wa Mazingira Migodini
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2016-01-12 18:48:36
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page