Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiFedhaBenki Kuu ya Tanzania

Benki Kuu ya Tanzania ni Taasisi ya Umma ambayo ilianza kufanya kazi rasmi tarehe 14 Juni 1966 kwa mujibu wa Sheria ya Bunge Na. 12 ya mwaka 1965. Sheria hiyo ilifanyiwa marekebisho mwaka 1978. Aidha, mwaka 1995 ilitungwa sheria mpya ya Benki Kuu, na kufanyiwa maboresho mwaka 2006. kwa sasa Benki Kuu ya Tanzania inafanya shughuli zake kwa mujibu wa sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 2006, ili kutoa mamlaka zaidi kwa Benki Kuu katika kusimamia utekelezaji wa sera ya fedha.

 

Masoko ya Fedha Msimamizi wa Benki
Huduma za Kibenki Mifumo ya Malipo ya Taifa
Dawati la Utatuzi wa Malalamiko ya Wateja wa Huduma za Kibenki BOT Training institute-Mwanza
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 0000-00-00 00:00:00
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page