Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Mambo ya NjeWatanzania Nchi za NjeMisaada kwa Mashirika ya Hisani na AZISE

Watanzania wanaoishi sehemu mbalimbali duniani wanaweza kuchanga bidhaa/vitu kwa mashirika ya hisani ya dini au AZISE yanayofanyakazi za kusaidia au kuoa hudumaza jamii.  Misaada hiyo itasamehewa ushuru wa uingizaji bidhaa, ushuru wa forodha na kodi ya ongezeko la thamani wakati wa uingizaji vitu/bishaa, alimradi vitu/bidhaa hizo ni kwa ajili ya matumizi yaliyokusudiwa kwa kikundi(wanufaika) na kwamba visibadilishwe matumizi yaliyokusudiwa.

Kwa kawaida, walengwa wanasamehewa kulipa kodi, lakini ni serikali ndiyo inayolipa kodi kwa niaba ya mashirika ya hisani kwa kutumia mfumo wa vocha za hazina na hundi  (TVC).

Kushughulikia Msamaha wa Kodi Kustahili Msamaha wa Kodi
Kutostahili Msamaha wa Kodi Orodha Hakiki ya Idhini ya Misamaha kwa AZISE
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-14 06:46:46
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page