Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Mambo ya NjeWatanzania Nchi za NjeMtandao wa Wataalamu Tanzania

Mtandao wa Wataalamu Tanzania (TPN) ni taasisi isiyo ya Serikali iliyosajiliwa Tanzania yenye wanachama wanaotoka katika fani mbalimbali walioko ndani na nje ya mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.  Lengo kuu la chombo hiki ni kuongezea na kutekeleza jitihada mbalimbali za Serikali zinazotafuta na kushughulikia mahitaji ya Watanzania kumiliki uchumi wao na kuwa nguvu ya kuamulia ustawi wake.  Miradi mikuu ya kiuchumi ni lazima iendeshwe na Watanzania zaidi kwa kutumia uwekezaji wao wenyewe au kwa kushirikiana na wawekezaji wa nje au kwa kutumia msaada wa haki, usio na upendeleo wala masharti kutoka kwa washirika/wabia wa maendeleo.  TPN ina ushirikiano mzuri na vyama mbalimbali vya aina hiyo, serikali na taasisi zake na Watanzania wanaoishi nchi za nje, vyama mbalimbali na mashiriki.  Kutoka na kwamba TPN ina wananchama kwenye taasisi mbalimbali za binafsi na za umma, waliounganishwa na  matariajio yao, waliotoa wazo la kuunda ushirikiano rasmi na wa vitendo kati ya wananchi walio chini na wenzao wanaoishi nchi za nje mbalimbali kushughulikia mafanikio ya maendeleo yatumiwe na kuwanufaisha kwa usawa Watanzania wote.  Kwa maelezo yote, tembelea tovuti  yao.  http://www.tpntz.org/.

 

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-14 10:40:36
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page