Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiUtaliiPanga Safari yako

Kunapokuwa na mahali pengi pa kutembelea na vitu vingi vya kuangalia, kupanga safari ya kuja Tanzania  kunahitaji utafiti  wa kutosha na kufanya uamuzi mgumu. Wageni wengi wanaona kuwa safari moja tu haitendei haki vivutio vingi vya Tanzania na hivyo wanarudi tena na tena  kufurahia maajabu ya wanyamapori, mandhari ya kuvutia  na makaribisho ya ukarimu ya watu wake.

Hapa chini kuna muhtasari wa baadhi ya namna ya kufika Tanzania na jinsi ya kusafiri mara unapokuwa nchini – kusafiri kwa njia ya barabara, ndege, bahari na reli ni njia zinazofaa kutumia. Orodha yetu ya unachotakiwa kuleta ni pamoja na vitu visivyopatikana kwa urahisi nchini na vitu ambavyo uwapo safarini au kufurahia fukwe zenye jua la kupendeza, usingependa kuvikosa.

Maelezo muhimu ya safari ni pamoja na orodha ya mambo muhimu kuhusu upataji na ubadilishaji wa fedha, kuhudumia afya yako unapokuwa safarini, tahadhari ya malaria, bima ya safari, upataji wa huduma za hospitali na kliniki, visa na taarifa za usalama. “Kupanga Safari Yako” itakuarifu kila kitu unachotakiwa kujua ili ujiandae kwa ukamilifu kwa safari yako.

Mwongozo kwa Msafiri
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-20 19:15:02
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page