Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuHotubaHotuba za Marais

Rais amekuwa akiwahutubia wananchi kuhusiana na mambo mbalimbali yakitaifa kama uchumi, sera za kitaifa kama Azimio la Arusha lililohamasisha Ujamaa na Kujitegemea, amani, ukabila, elimu, umaskini na magonjwa. Hotuba hizi zilitolewa wakati tofauti tangu kupata uhuru. Sehemu hii inakuletea hotuba zilizotolewa na marais kutoka rais wa Awamu ya Kwanza hadi Awamu ya Nne. Hotuba hizi zimewekwa kufuata awamu za uongozi.

Mwl Julius Kambarage Nyerere Alh.Ali H. Mwinyi
Dkt. Benjamin W. Mkapa Dkt. Jakaya M. Kikwete
Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-21 15:21:12
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page