Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiMaji Huduma za Majisafi na majitaka Mijini

Program ya Usambazaji maji mijini ilianzishwa mwaka 1997 kupitia Akaunti Maalum chini ya Sheria ya Hazina na Ukaguzi ya mwaka 1961 kufuatia Sheria ya Miundombinu ya Maji Sura ya 281, Masharti ya Nyongeza ya mwaka 1997 iliyoipa dhamana ya Wizara inayohusika kuanzisha asasi zinazojitegemea zinazoitwa Mamlaka za Maji Safi na Maji Taka Mijini.  Kwa lengo la kuimarisha usambazaji wa huduma ya maji na mfumo wa maji machafu Mijini ambako huduma hiyo imekawilishwa kutokana na ongezeko kubwa la watu na kupanuka kwa kaya isiyowiana na mtandao wa maji.

Katika Sheria ya Miundombinu ya Maji, Sura ya 281 ya mwaka 1997 (marekebisho) ilianzisha Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Mikoani isipokuwa Mamlaka ya Maji na Mfumo wa Maji Machafu ya Dar es Salaam (DAWASA) inayosambaza maji Dar es Salaam, Kibaha, na Bagamoyo iliyoanzishwa tarehe 1 Januari, mwaka 1998, Mamlaka nyingine iliyoanzishwa baadaye ni Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka ya Babati, mwaka 2003.

 

 

 

 

Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Arusha Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Mwanza
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dodoma Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Moshi
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Morogoro Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Tanga
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Kahama/Shinyanga Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es salaam
Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es salaam Mamlaka ya Majisafi na maji Taka Iringa
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Tabora Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Sumbawanga
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Lindi Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Mbeya
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Bukoba Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Kigoma
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Mtwara Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Singida
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Babati Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Musoma
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Songea
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-21 18:28:16
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page