Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuHotubaHotuba za Marais Dkt. Jakaya M. Kikwete

Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ni rais wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alizaliwa  tarehe 7 Oktoba, 1950 kijiji cha Msoga, Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani. Alipata elimu ya Msingi na ya Kati katika shule za Msoga na St. John Bosco Lugoba kati ya mwaka 1958 na 1965. Aidha, alipata elimu ya sekondari katika shule za sekondari za Kibaha (1966 – 1969) na Tanga (1970 – 1971).

Alihitimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 1975 na kupata Shahada ya Uchumi, na mwaka 1976 alijiunga na Chuo Kikuu cha Maofisa wa Jeshi Monduli na kutunukiwa Cheo cha Luteni Kanali na baadaye kuwa Mkufunzi Mkuu na Kamisaa wa Siasa katika chuo hicho.

Mheshimiwa Kikwete amefanya kazi katika Chama cha Mapinduzi kwa nyadhifa mbalimbali kwenye mikoa ya Singida na Tabora na  wilaya za Nachingwea na Masasi. Mwaka 1988 aliteuliwa kuwa Mbunge na Naibu Waziri wa Nishati na Madini. Mwaka 1990 alichaguliwa kuwa mbunge wa  Jimbo la Bagamoyo na akateuliwa kuwa Waziri wa Wizara ya Maji, Nishati na Madini. Nyadhifa nyingine alizoshika ni Waziri wa Fedha mwaka 1994 na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kuanzia mwaka 1995 hadi 2005.

Chagua kutoka kwenye orodha, kutafuta Hotuba za  Dr. Jakaya M. Kikwete.


Tarehe
Maneno Muhimu:

No Dkt. Jakaya M. Kikwete Tarehe Faili / Anuani Miliki
1 Hotuba ya Mheshimiwa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Kwenye Ufunguzi Wa Maadhimisho ya Wiki Ya Nenda Kwa Usalama Barabarani Kitaifa Mkoani Tanga Tarehe 03/08/2015 August 08, 2015 295.3 KB
2 Speech by the H.E. DR. Jakaya Mrisho Kikwete, President of The United Republic of Tanzania and Commander In Chief of The Armed Forces, At the Closing and Graduation Ceremony of The Third Course of The National Defence College, 24 July, 2015 Dar es Salaam July 27, 2015 260.6 KB
3 Hotuba ya Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wakati wa Kuagana na Bunge na Kulivunja Bunge la Kumi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ukumbi wa Bunge, DODOMA Tarehe 9 Julai, 2015 Julai 10, 2015 750.4 KB
4 Hotuba ya Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Lulevya Duniani-Bagamoyo, Mkoani Pwani, tarehe 26 Juni, 2015 June 26, 2015 482.6 KB
5 Hotuba Ya Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Wakati Wa Sherehe Za Kukabidhi Vitabu Vya Sayansi Na Hisabati Kwa Ajili Ya Shule Ya Sekondari Kutoka Nchini Marekani, Shule Ya Sekondari Mtakuja, Tarehe 24 Februari, 2015 Februari 24, 2015 332.8 KB
6 Remarks By H.E. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete President Of The United Republic Of Tanzania At The State Banquet Hosted In His Honour By H.E. Edgar Chagwa Lungu, President Of The Republic Of Zambia, 25th February, 2015, Lusaka February 25,2015 306.0 KB
7 Hotuba Ya Mwisho Wa Mwezi Februari, 2015, Ya Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Iliyotolewa Tarehe 1 Machi, 2015 Machi 01,2015 349.9 KB
8 Salamu za Mwaka Mpya za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa Watanzania,Tarehe 31 Desemba, 2014. December 31,2014 476.1 KB
9 Hotuba ya Rais kwa Wazee wa Dar es Salaam Desemba 2014 December 22,2014 477.7 KB
10 Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete, kwenye kilele cha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani, Mei Mosi, 2012, Tanga 1-5-2012 34.5 KB
11 Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete wakati wa maadhimisho ya Mei Mosi jijini Mbeya 2013. 1-5-2013 24.9 KB
12 Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete wakati wa maadhimisho ya Mei Mosi jijini Dar es salaam 2014. 1-5-2014 45.9 KB
13 Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete wakati wa maadhimisho ya Mei Mosi, Morogoro 2011. 2011-5-1 768.0 KB
14 Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania juu ya Uzinduzi wa Mabango - Kampeni ya Kulinda Tembo na Faru. 11-02-2014 40.5 KB
15 Hotuba ya Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa katika Sherehe za Kutimiza miaka 37 ya Uhai wa Ccm-Mbeya. 02-02-2014 94.5 KB
16 Hotuba ya Rais ya Mpito wa Uchumi wa Afrika, New Yorkn (kwa Kiingereza) 2013-09-26 407.7 KB
17 Hotuba ya Rais Kwenye Maadhimisho ya Miaka 100 ya Kanisa la Katoliki, Parokia ya Lugoba 2013-10-27 407.4 KB
18 Hotuba ya Rais Kwenye Sherehe ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru 2013-10-14 480.5 KB
19 Hotuba ya Rais Kwa Wananchi 2013-10-04 476.6 KB
20 Hotuba ya Rais Wakati wa Ufunguzi wa Semina ya Makatibu wa CCM Mikoa na Wilaya na Wenyeviti wa CCM wa Wilaya, Dodoma 2013-10-24 435.5 KB
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-22 06:00:00
Kufaa
2.0
1 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 1
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
3.0
2 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 1
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 1
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page