Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliSera

Sera zinatungwa na Serikali ili kutoa  mwongozo wa kufikia baadhi ya malengo kwa manufaa ya watu. Umuhimu na lengo la Sera yoyote  ni kutanzua changamoto zilizopo katika jamii yoyote inayotumiwa kama zana ya kulinda na kuhakikisha huduma bora kwa jamii. Katika sehemu hii utapata taarifa kuhusu sera za maendeleo ya sekta na uchumi wa Tanzania.

Chagua kutoka kwenye orodha, kutafuta  Sera za Maendeleo na Uchumi.


Kutoka Mwaka: Mpaka
Maneno Muhimu:

No Sera Mwaka Faili / Anuani Miliki
81 Muhtasari wa Mfumo wa Sera za Jumla za Uchumi na Maendeleo ya Jamii 2011 197.6 KB
82 Sera ya Kusimamia Mashaka katika Biashara (kwa kiingereza) 2011 447.4 KB
83 Sera ya Ufugaji Nyuki (kwa Kiingereza) 1998 425.6 KB
84 Sera ya Wazee ya Taifa 2003 74.4 KB
85 Sera ya Uendelezaji wa SME (kwa Kiingereza) 2003 121.3 KB
86 Sera ya Utalii ya Taifa (kwa Kiingereza) 1999 2.6 MB
87 Sera ya Nishati ya Taifa 2003 (kwa Kiingereza) 2003 254.6 KB
88 Sera ya TEHAMA 2003 (kwa Kiingereza) 2003 97.7 KB
89 Sera ya Usafirishaji ya Taifa 2003 (kwa Kiingereza) 2003 753.2 KB
90 Sera ya Maendeleo ya Wanawake na Jinsia (kwa Kiingereza) 2000 346.1 KB
91 Waraka wa Sera za Uchumi Jumla 2010 147.9 KB
92 Sera ya Biashara ya Taifa (kwa Kiingereza) 2003 588.6 KB
93 Sera ya Malipo ya Utumishi wa Umma na Motisha (kwa Kiingereza) 2010 197.4 KB
94 Sera ya Uendelevu wa Viwanda (kwa Kiingereza) 1996 1.1 MB
95 Sera ya Posta ya Taifa (kwa Kiingereza) 2003 173.2 KB
96 Sera ya Afya ya Taifa (kwa Kiingereza) 2003 210.3 KB
97 Sera ya Mawasiliano kwa Simu ya Taifa 1997 (kwa Kiingereza) 1997 606.8 KB
98 Sera ya Uchumi ya Jumla (kwa Kiingereza) 2009 1.2 MB
99 Sera ya Soko la Bidhaa za Kilimo (kwa Kiingereza) 2008 270.5 KB
100 Sera ya Maji 2002 946.3 KB
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-05 09:07:04
Kufaa
4.8
4 Jumla
Inafaa Sana 3
Inafaa Kiasi 1
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
5.0
3 Jumla
Rahisi Sana 3
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page