Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliWafanyakazi Haki za Watumishi

Ustawi wa Watumishi unajumuisha kitu chochote kinachofanywa kwa ajili ya faraja na kuboresha watumishi na hutolewa kwenye mishahara na zaidi ya mishahara. Ustawi husaidia hamasa na motisha ya watumishi kuwa juu kwa muda mrefu. Vipimo vya ustawi si lazima viwe fedha tu bali kwa namna nyingine yoyote. Sehemu hii inaeleza kwa muhtasari bima ya afya na pensheni kama ustawi wa watumishi katika utumishi wa umma.

Mafao Mpango wa Afya
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-05 08:20:18
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page