Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliWafanyakazi Mafao ya Watumishi

Marupurupu ni malipo anayopewa mfanyakazi nje ya mshahara wake. Tanzania kuna  marupurupu mbalimbali anayopewa mfanyakazi kutokana na kuajiriwa. Serikali imeainisha katika Kanuni ya Kudumu malipo inayotoa kisheria na yale ya stahili. Malipo ya kisheria yamewekwa katika makundi mawili  - posho na marupurupu. Sehemu hii inatoa maelezo ya aina hizo za malipo. 

Posho Stahili
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-05 09:07:04
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page