Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliWafanyakazi Kanuni za Maadili

Kanuni za Maadili ya Utendaji katika Utumishi wa Umma zinatolewa kwa mara ya kwanza tangu tupate uhuru mwaka 1961. Wakati wa utawala wa kikoloni Kanuni za Maadili na utendaji zilikuwa kwenye sheria na kanuni mbalimbali, utaratibu huo uliendelea hata baada ya uhuru. Kwa kuwa sheria na kanuni hizi hazipatikani kwa urahisi kwa watumishi wa umma wote, watu walikuwa hawajui kuhusu utendaji kimaadili unaotarajiwa. Ili Utumishi wa umma uwe wenye ufanisi na wa kuheshimika watumishi wanapaswa kuzifuata kanuni za maadili ya utumishi pamoja na kuwa na tabia na mwenendo unaozingatia mambo yafuatayo; kutoa huduma bora, utii kwa Serikali, bidii ya kazi, kutoa huduma bila upendeleo, kufanyakazi kwa uadilifu, kuwajibika kwa umma, kuheshimu sheria na matumizi sahihi ya taarifa rasmi. Kwa maelezo zaidi tembelea: http://www.ethicssecretariat.go.tz


No Kanuni za Maadili Faili / Anuani Miliki
1 MWONGOZO KUHUSU MASHAURI YA NIDHAMU NA RUFAA 1.1 MB
2 Mwongozo wa Mavazi kwa Watumishi wa Umma-Beramu 593.7 KB
3 Ufafanuzi Kuhusu Maadili ya Utumishi wa Umma-Kufanya Kilicho Sahihi 10.5 MB
4 Kanuni za Maadili ya Utendaji Katika Utumishi wa Umma 8.6 MB
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-05 15:21:12
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page