Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliWafanyakazi Mafunzo

Mafunzo yanapangwa na kutekelezwa kwa madhumuni ya kuimarisha uwezo wa watumishi wa umma kwa upande wa stadi, maarifa na kubadili mtazamo. Fursa za mafunzo  katika utumishi wa umma zinatolewa na Serikali na wadau wengine wakiwemo Wabia wa Maendeleo. Fursa hizi zinatolewa nchini au nje ya nchi.  Misaada yote ya mafunzo ya nje ya nchi iko wazi kwa wananchi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Mpango wa Taifa wa mafunzo ya Elimu ya Juu na Elimu ya Kati unapanua taasisi za mafunzo na kupewa msisitizo katika kufundisha watu weledi kusimamia sekta mbalimbali nchini. Kuna aina mbili za mafunzo: mafunzo rasmi na yasiyo rasmi.

Mafunzo ya ndani kwa watumishi wa umma yanatolewa katika Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), Wakala ya Elimu ya Masafa Tanzania (TaGLA), Taasisi ya Uongozi Afrika kwa Maendeleo Endelevu (UONGOZI Institute).

 

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-06 16:54:44
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page