Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiMakaziMiradi

Shirika la nyumba la Taifa linaendelea na utekelezaji wa mpango makakati wake wa miaka mitano, uliyotayarishwa na kuanza kutumika katika nusu ya kwanza ya mwaka 2010. Katika mpango mkakati huo shirika lina malengo makuu  sita ambayo ni kuwa mwendeshaji na utaratibu wa udhibiti; utumiaji kwa ukamilifu wa rasilimali watu zilizopo, kupitia na kuboresha mikataba yote na mazingira ya sharia na kuongeza hadhi na sifa ya shirika.

Shirika liliendelea na jitihada zake za kujenga nyumba nchini kote, kuanzia nyumba nafuu, za kati na za daraja ya juu. Katika kipindi hiki kumetekelezwa miradi mingi ya ubia.

Miradi Iliyokamilika Miradi Inayoendelea
Miradi Ijayo
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-10 20:01:48
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page