Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kupata Leseni
OFISI INAYOHUSIKA
Wakala ya Usajili, Ufilisi na Udhamini

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Wakala ya Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) husajili Ndoa na Talaka na hutoa vyeti.  Ndoa na Talaka hutawaliwa na Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971 sura ya 29, R.E. 2002.

Taratibu:

  • Jaza Fomu RGMF 9.
  • Uthibitisho wa sababu ya kutofuata sharti la notisi ya siku 21.
  • Kuwapo kwa pande zinazohusika na ndoa.
  • Picha za pasipoti za pande zinazohusika na ndoa.
  • Ada inayohusika (Ofisi ya Wilaya Tshs. 33,000/=, Dini Tshs. 11,000/=).
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 19-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page