Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kupata Vyeti
OFISI INAYOHUSIKA
Wakala ya Usajili, Ufilisi na Udhamini

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Kuzaliwa ni kutokea kwa mtoto au kichanga chochote kutoka kwenye mwili wa mama yake, mwanzo wa maisha kama binadamu anayejitegemea. Kwa mujibu wa sheria, vizazi ni lazim viandikishwe ndani ya siku 90 za kutokea kwake na kifo ndani ya siku 30. Hata hivyo sheria inaruhusu usajili wa baadaye

Masharti:

  • Iwapo mtoto amezaliwa hospitali, vituo vya afya na zahanati, hakikisha kuwa unapata tangazo la kizazi
  • Iwapo mtoto amezaliwa nyumbani, toa taarifa kwa ofisa mtendaji wa kijiji au msajili wa wilaya wa vizazi na vifo ili upate tangazo la kizazi. Hii ni lazima ifanyike ndani ya siku 90

Taratibu:

  • Wasilisha tangazo la kizazi kwa msajili wa vizazi na vifo wa wilaya ambako kizazi kimetokea
  • Lipa ada inayotakiwa kwa ajili ya cheti (kwa sasa ada ni Tsh. 3500/=)
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 20-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page