Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kupata Vyeti
OFISI INAYOHUSIKA
Wakala ya Usajili, Ufilisi na Udhamini

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Masharti:

  • Kadi ya kliniki/ Tangazo la Kizazi
  • Cheti cha ubatizo, kama kinahitajika.
  • Barua kutoka mamlaka za serikali (ofisa mtendaji wa kata au ofisa mtendaji wa kijiji)

Taratibu:

  • Wazazi/ walezi wajaze na kuwasilisha Fomu BD 15
  • Ambatisha picha moja ya pasipoti ya mototo.
  • Ambatisha nyaraka zenye taarifa za ziada.
  • Lipa ada inayotakiwa(ada ya sasa ni Tshs 4,000/=)

 

Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 20-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page