Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kupata Vyeti
OFISI INAYOHUSIKA
Wakala ya Usajili, Ufilisi na Udhamini

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Masharti:

  • Barua inayohusika kutoka mamlaka za Serikali ya Mtaa, Kijiji au Kata.
  • Kadi ya kliniki.
  • Cheti cha ubatizo, kama kinahitajika.
  • Cheti cha falaki kutoka BAKWATA
  • Vyeti vya kumaliza shule (Msingi/Sekondari)

Taratibu:

  • Wazazi/ walezi wajaze na kuwasilisha Fomu BD 15
  • Ambatisha picha za pasipoti
  • Ambatisha nyaraka za taarifa za ziada zinazohitajika
  • Lipa ada inayotakiwa Tshs 20,000/= na wilayani Tshs. 10,000/=
Zingatia: Fomu na malipo yawasilishwe katika ofisi za RITA makao makuu au Wilaya kizazi kilipotokea

 

 

Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 20-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page