Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kupata Vyeti
OFISI INAYOHUSIKA
Wakala ya Usajili, Ufilisi na Udhamini

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Masharti:

  • Pata tangazo la kuzaliwa kutoka kwa Msajili wa Wilaya au Ofisi ya Mtendaji wa Kijiji.
  • Ripoti ya kupotea, iliyotolewa taarifa ndani ya siku 90.

Taratibu:

  • Wasilisha ombi likionyesha namba iliyosajiliwa jina na tarehe ya usajili na mahali pa kuzaliwa.
  • Lipa ada inayotakiwa (ada ya sasa ni Tsh. 3500/=).
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 20-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page